House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
ZIPO 3 NDANI YA FENCE
KODI 400,000 × 6
LOCATION: UBUNGO MAKOKA
DISTANCE: KM 2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SIDE Au KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️DINNING ROOM
✔️VYUMBA V3 KIMOJA MASTER KUBWA
✔️JIKO KUBWA LA MAKABATI
✔️STORE KUBWA KAMA CHUMBA
✔️MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️UMEME LUKU YAKO
✔️NDANI YA FENCE
✔️GOOD ENVIRONMENT
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp