House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







SIFA KUU YA HII NYUMBA INA MASTER KUBWA SANA NA SEBULE KUBWA SANA
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KUTOKEA KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN NA USAFIRI WA BAJAJI UPO 500 TU
SIFA ZAKE
========
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
PUBLIC TOILET
TILLES & GYPSUM
ALUMINIUM
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZUR
NA TULIVU
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW CHOONI
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
0742260844
0657384670