House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Nyumba nzuri inapangishwa UBUNGO external
Itakuwa wazi tarehe 4 mwezi wa 8 mwaka 2025
#Location: ubungo external
Umbali dakika 4
SIFA ZAKE
-Chumba Master bedroom
Sebule
Jiko
- dipoziti 350,000/=
Umeme inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
KODI YAKE Tsh. 350,000/= Malipo Miezi Sita
Service Charge 15,000/-
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.