House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


#Repost Nyumba nzuri
yakupangisha
Itakuwa wazi tarehe 14 mwezi wa 4
#Location: ubungo external
Umbali dakika 4
SIFA ZAKE
-chumba master na jiko kubwa
- dipoziti 250000
Umeme wawili inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
KODI YAKE Tsh. 250000 Malipo Miezi Sita
Service Charge 15000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA