House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA 180X5, 6
.
LOCATION UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI BAJAJI 500
SIFA ZA NYUMBA
============
CHUMBA MASTER KUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET YA NJE
TILLES
GYPSUM
LUKU YAKE
MAJI YAKE
DAWASA
YANAFLOW NDANI
TENK LAKO LA MAJI
NDANI YA FENSI
SIO YA KULAZA GARI
MAZINGIRA MAZURI
MASAFI NA TULIVU
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 5, 6
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICHAJ ELIFU 15
CONTACT
O627977383