House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5 MPKA SITA
.
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE AU KUTOKEA KIMARA KOROGWE KOTE UNAFIKA NYUMBAN
.
UMBALI KM 1.7 KUTOKEA KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700
.
SIFA ZAKE
=========
NI CHUMBA KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA LENYE MAKABATI NA CHOO NDAN
.
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA WAPANGAJI 2 TU KWENYE FENS
.
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347