House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment iyo ya kisasa sanaa
&
Inapangishwa sh laki tatu na nusu
@
Kodi ya miez 6 na dalali 7 ipo
@
Maeneo ya ubungo msewe
@
Chumba sebule jiko choo
@
Umeme na maji inajitegemea
@
Gar ndani
@
Garama ya kuonyeshwa ni sh 30000
@
Mpaka unapata nyumba
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687