House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent za Kisasa nzuri zipo 2 tuu Moja ndio ipo wazi
Location Ubungo Riverside Kibangu
Kodi 300000ร6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa za Nyumba
================
Chumba na Sebule Kubwa
Sehemu ya Jiko
Luku yake
Maji Dawasa ndani mita yake
Parking space fancy
Fully A/C Sebule na Chumbani Master
Choo ndani Kizuri
Hita Maji Moto na Baridi
Slide window
Tiles
Gym
Good environment
Piga sim Kwa Maelezo zaidi