House/Apartment for Rent in Kibamba, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI
Vyumba vya kulala 3 kimojawapo master bedroom sebule jiko kubwa na public toilet
Kodi 400,000 kwa mwezi × 6
Inajitegemea ,maji na umeme, apartment 2 tu ndani ya fence
Kutoka kituoni dakika 4 kwa mguu
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347




















