House/Apartment for sale at Bagamoyo, Mbeya







FURNISHED APARTMENTS TANO ZINAUZWA BAGAMOYO MJINI BLOCK P
BEI MILIONI 600
0759128747 0712058357
Zipo Apartments tano
Apartment nne zina Two bedrooms,Sebule,Jiko na Dining.
Apartment moja ina Chumba, Sebule na Jiko
■Plot size 1000+Sqmt
■Bei 600m tsh maongezi
■Document: Hati miliki
Karibu sana.



















