House/Apartment for sale at Chanika, Dar Es Salaam







✍️NJOO UOKOTE DODO✍️
NYUMBA 3 ZINAUZWA ZOTE PAMOJA CHANIKA ITALIAN STEND WILAYA ILALA DAR
Nyumba (apartment) tatu (3) zinauzwa zote katika eneo moja
📌BEI MILION 39📌
Vyumba vipo 10 na sebule
Tailz jipsam maji umeme
Ina fens pia
Nyaraka ya serikal ya mtaa
GARI MOJA HAD MJIN
TUPIGIE CM
0672580680
0678588718. WHASP