House/Apartment for sale at Hazina, Dodoma


NYUMBA INAUZWA HAZINA/MIREMBE JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,100 sq.m
Inafaa kwa maboresho ya APARTMENT, HOTEL, LODGE, MAKAZI etc
Ipo mita 500 kutoka LAMI
Maji/Umeme upo
Ipo ndani ya fensi
Ipo mjini
Ina HATI
BEI ni Tshs. 120,000,000/= ( milioni mia moja na ishirini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"