House/Apartment for sale at Igoma, Mwanza
IGOMA MWANZA
APARTMENT MPYA ZINAUZWA
ZIPO 3 KILA MOJA
KUNA CHUMBA SELF
SEBURE
JIKO
HEATER
PIA KUNA MADUKA MATATU((FREMU))
KISIMA CHA MAJI
P.TOILET YA NJE
STORE ZA NJE
CAR PARKING
BEI MIL 85
MAZUNGUMZO YAPO
0767241001
NB
MITA 300 TOKA KWENYE RAMI, NYUMBA ZOTE ZINAWAPANGAJI