House/Apartment for sale at Kijitonyama, Dar Es Salaam





Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo kijitonyama prime area
- Ina vyumba 6 self contained fully A/c
- Plot size: 1,200 sqmts
- Ina hati miliki safi
- Ni plot ya nne kutoka kwenye lami
- Panafaa kujenga apartments, hotel, nk
- Bei TZS 780 Million maongezi yapo kidogo
call wasap
+255714592413
0625503976