Plot for sale at Bagamoyo, Mbeya
πππππππ ππππππππ (BAGAMOYO UKUNI)
- KM 1 kutoka barabara kuu (Bagamoyo road)
- Ukubwa wa kiwanja ni sqm 800
- Kipo karibu na Mahakama ya Wilaya Bagamoyo, Bank ya CRDB ,chuo cha ufundi mlimani na chuo cha Record kΔ±narsa kwa biashara pia
- Huduma muhimu kama Maji, umeme vipo tayari (mji umejengeka)
- Kiwanja kina hati ya wizara
BEI;
Ni Tsh 25,000,000/= (Shilingi milioni ishirini na tano tu )maongezi yapo
Kwa mawasiliano zaidi piga/WatsApp
0749 060677
EPUKA migogoro wekeza kwa usalama.