Plot for sale at Boma, Morogoro







KIWANJA AMBACHO KINA BOMA KINAUZWA PONGWE YA UROA
#unguja #zanzibar
Umbali mpaka Barabarani Mita 500
Umbali mpaka Beach/Pwani Mita 700
Kiwanja kipo Baada ya barabara ya ndani
Ukubwa wa kiwanja Mita 34x43
Bei Tsh 30m
NB: Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na video picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni mita 700
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake



















