Plot for sale at Bonyokwa, Dar Es Salaam
NYUMBA YA VYUMBA VINNE (4) PLOT IMEPIMWA.
TSHS.135 MILIONI, BONYOKWA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
KIMEPIMWA (Hati ipo kwenye Mchakat
NI NYUMBA YA KUHAMIA.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_________________mpg
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 4 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Pia Ina Nyumba ya Mfanyakazi pembeni.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.