Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


πππππ ππ πππππππ
π ππππ ππππππππππ ππππππ―
KIWANJA KINAUZWA BUNJU MAMBWEPANDE
* Kiwanja kipo km 3 tu kutoka Bagamoyo Road kipo karibu na hospital ya wilaya Mabwepande
* Huduma za kijamii zipo (maji,umeme,barabara,hospital vipo site)
* Kiwanja kimepimwa kina HATI tayari na gharama za kutransfer ni juu yetu sisi
BEI
Tsh 30,000,000/=(shilingi milioni thelathini tu) maongezi yapo
Ukubwa: sqm 600
SITE VISITING
Ni kila siku piga simu tukupeleke site
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/WAtsapp 0749 060677
Office:Classic mall Mbezi Beach 2nd floor