Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


24/10/2024
KIWANJA KINAUZWA
___________
LOCATION: Bunju 'B' - Dakika 7 kwa kutembea kutoka Main Road.
___________
KIWANJA: Kina M25 X M20
Huduma za Kijamii zote zipo karibu
Kuna Chumba kimoja Pembeni Kabisa na Shimo la choo limechimbwa na kishafunikwa.
___________
BEI: TSH MIL 11.
Service Charge kwenda kuona ni Tsh.15,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788