Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
___________
LOCATION: BUNJU B - (Kiwanja Cha Pili kutoka Main Road)
___________
UKUBWA: Kiwanja Kina ukubwa wa Sqm 1350
Kiwanja Kimepimwa ila Hati haijatoka(Kina Plot Number)
Gari inafika mpaka kwenye Kiwanja.
Huduma za kijamii zote zipo karibu.
BEI: MILLION 80 Ila Maongezi yapo.
SERVICE CHARGE: TSH. 20,000/=
Call/WhatsApp: 0687800788