Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam
KIWANJA KINAUZWA KIPO BUNJU B MABWEPANDE KINA UKUBWA WA SQM 700 KIMEPIMWA NA KINA HATI SAFI YA WIZARA NDANI YA KIWANJA KUNA NYUMBA YA CHUMBA NA SEBULE YA KUANZIA MAISHA NAKIUZA KWA BEI YA JUMAPILI MILION 25 NJOO UMALIZE BIASHARA
#Cal
#0717671240 au what's up ๐