Plot for sale at Bunju, Dar Es Salaam


ENEO LENYE UKUBWA WA SQMT 1735 linauzwa Bei milioni 80 maongezi yapo limepimwa na lina hati
Eneo lipo bunju ya mwanzoni
Eneo lipo sehemu nzuli sana na barabara yake ipo vizuli sana na panafikika Kwa urahisi
Umbali kutoka lami kuu ya bagamoyo road mpaka unafika ni km 1 tu
Eneo lipo sehemu nzuli sana unaweza kuweka apartment nyumba ya kuishi au nyumba ya biashara...NK............
Miundo mbinu yote ya kijamii ipo kama linavyoonekana
Eneo halina deni lolote Wala migogoro yoyote
Kwa maelezo zaidi na bila kuchelewa nipigie
#Cal
#0717671240 au what's up π