Plot for sale at Chanika, Dar Es Salaam
Nyumba Inauzwa Chanika Zingiziwa Wilaya ya Ilala Dar es salaam ,
Bei milioni 45,000,000/= tsh
Ukubwa sqm 400
Ina vyumba vitatu vya kulala // masterbedroom // sittingroom // dinningroom // public toilet // jiko // store
Ni mita chache kutoka barabara kuu
Karibu sana umiliki nyumba hii
Ofisi zetu zipo chanika mwisho
Nb, hakuna baba mwenye gari , bali baba mwenye nyumba
0657 84 00 10
0623 65 67 54