Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam
*APARTMENTS 3 zinauzwa Milioni 65 maongezi yapo📍Zipo Goba centar* Dar es salaam - Tanzania
*Distance* Kutoka main road ni Meter 600
◇Kila Apartment ina chumba master sitting room na jiko
◇Maji na umeme kila mpangaji anajitegemea
◇Apartment zipo ndani ya fensi kila Mpangaji analipa Kodi laki (250,000) kwa mwezi
◇Makusanyo ya kodi kwa mwezi kwa wapangaji wote ni laki (750,000) Kwa mwaka mzima ni milioni (9000,000)
◇Apartments zote 3 zimejaa wapangaji
◇Plot size Sqmt 400
◇Document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua)
*Bei shilingi milioni 65 maongezi yapo*
CONTACT US:-
0716223412
0683597453