Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA BINAFSI
IPO GOBA CENTRE - DAR ES SALAM TANZANIA
Ina Vyumba Vinne (4) Vya Kulala, kati ya hivyo Viwil Ni Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Nyumba Ina Servant Quarter Ya Vyumba Viwil Na Choo Cha Nje na jiko lake
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED )
Ukubwa Wa Eneo: SQM 986
Umbali: Meter takribani 300 Tu Kutoka Barabara Ya Lami (Goba Centre)
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Nyumba Ipo Mtaa Mzuri Umejengeka Kwa Mpangilio
Bei : 180 Million
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
Tupigie +255
@☎️0689 905 338.