Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


‼️PUNGUZO LA BEI SASA LIMEKUBALIKA
👇👇
SASA NI MILIONI 40 MAONGEZI YAPO USIJALI FIKA SITE 👈
NYUMBA INAUZWA MILIONI 40 MAONGEZI YAPO
GOBA TEGETA "A" BARABARA YA KUELEKEA NJIA NNE 4
‼️NDUGU WATEJA HII NYUMBA INAUZWA
BEI YA KUTUPA KABISA, MWENYEWE ANAJAMBO LAKE ANATAKA KULIMALIZA, HIVYO KIMFACHO MTU CHAKE‼️
UKUBWA WA KIWANJA SQMT 900
UMBALI KUTOKA LAMI KM 1.2
SIFA ZA NYUMBA 👇👇
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO STORE,👈HII YA FAMILIA ANAISHI YEYE.
PARTITION NYINGINE KUNA VYUMBA VINNE KIMOJA, KIMOJA, VYA WAPANGAJI WAMO WANAISHI KODI TSH 40,000/=
UMEME UPO KUNA MITA MBILI, MOJA YA WAPANGAJI, NYINGINE YA MWENYE NYUMBA.
BARABARA INAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
HUDUMA YA MAJI 🚰 BOMBA LIPO JIRANI NI KUVUTA TU.
KUONYESHWA SITE 30,000/=
What saapp number ⬅️ 0689-547258