Plot for sale at Goba, Dar Es Salaam


*Kiwanja kinauzwa Kinzudi Kata ya Goba*
*Distance* Kutoka Bagamoyo road mpaka site ni 5.5 KM
*Location* Eneo lipo Barabara ya Majengo
-Eneo lina bonde kushuka chini sehemu ni tambarare
*Eneo linafaa kwa ujenzi wa Apartment, shule au nyumba za makazi*0787 939 898
-Plot size Sqm 4,982
-Document: Mkataba wa mauziano ya serikali za mitaa
*Bei shilingi milioni 300 maongezi yapo*