Plot for sale at Ilala, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MAJOE CHUO LADA
NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLIC CHUMBA MASTER
NYUMBA NI MPYAA NYUMBA HAIPO MBALI NA BARABARA
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
BEI MCHEKEA MIL 28 TU
KUPELEKWA 30000
NJOO NA PESA MKONONI UJE UMALIZE
KARIBU MANISPAA YA ILALA
NI GONGOLAMBOTO MAJOE
#0657907091