Plot for sale at Iyumbu, Dodoma
KIWANJA CHA PILI LAMI KINAUZWA IYUMBU JIJINI DODOMA
Enel ukubwa ni 819 sq.m
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kikubwa
Kipo sehemu nzuri
Cha pili lami
Bei ni Tshs.37,000,000/= ( milioni thelasini na saba tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"