Plot for sale at Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KIPO IYUMBU KARIBU NA DUWASA
UKITOKA BAJAJI ZINAPOISHIA UNAFIKA KWAKO HATA KWA KUTAMBAA
KINA SQM 828 , KINAUZWA MILION 13 TU MWENYEWE KATINGWA SANA NJOO TUMCHANGIE KUMSHUSHA BEI ANA SHIDA HUYU
YA UDALALI UTANIPA HATA BUKU JERO AU HATA SAHANI YA WALI NAHARAGE SAWA TU KIKUBWA WEWE UPATE KIWANJA
NIPIGIE CHAP CHAP 0745649969