Plot for sale at Iyumbu, Dodoma
๐ Nauza kiwanja iyumbu kaanani
๐ kiwanja kina sqm 10600 (elfu kumi na mia sita)
๐ document saveiform
๐ Bei ni milion mia tatu 300ml
๐ njoo uweke hospital shule n.k
๐ piga simu Twende site Tajiri ๐ค