Plot for sale at Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU NYUMA YA SHELL JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 242 sq.m
Kipo jirani na LAMI
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Kinafaa kwa MAKAZI
BEI ni Tshs. 5,000,000/= ( milioni tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"