Plot for sale at Iyumbu, Dodoma


KIWANJA HIKI KIPO IYUMBU SHULE YA MSINGI/SEKONDARI
CHA KWANZA BARABARANI , KINAFAA KWA MAKAZI NA BIASHARA
KINA SQUARE METER 600+ , UMEME , MAJI TAYARI
MWENYEWE ANATAKA MILIONI 13 ILA KWA JINSI ALIVYOTINGWA AKIONA HELA HATA MILION 11 HUYU ANACHUKUA NJAA KALI SANA
MALIPO YANGU YA UDALALI UTANIIJIA NA MIRINDA ORANGE TAKE AWAY YA BARIDI LAKINI
NIPIGIE 0745649969