Plot for sale at Kati, Arusha


NYUMBA MPYA NZURI SANA YA KUMALIZIA UJENZI INAUZWA
MAHALI:- ILAZO KARIBU NA LAMI
MUUNDO WA NYUMBA
~Ina Vyumba vinne vya kulala Kati hivyo viwili vikiwa Master
~Sebule kubwa, jiko, dining, stoo, choo na bafu
~nyumba iko kwenye kiwanja cha kwenye Kona
~ukubwa wa kiwanja ni 900 SQM
~nyumba Ina fensi pande mbili tayari
~nyumba imefungwa grill za milango na madirisha tayari
~nyumba iko mtaa mzuri uliojengeka vizuri mno (mageti matupu)
~nyumba imejengwa pembeni ya kiwanja na kuacha eneo kubwa mno unaweza kujenga Apartments nyingine ukatenganisha na nyumba na kila akawa na geti lake
~bei ya nyumba Kama ilivyo ni 85,000,000/= tu
~Mawasiliano
~0628891445
~0755690265
#estatedodoma
#dalalidodomajiji
#dodomacity