Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo kibamba shule mkono wakulia kama unatokea mbezi
Kiwanja nikikubwa kina mita 40 kwa 20.
Sawa na sqmt 800
Bei milioni 27. Maongezi kidogo
Usafili pkpk 1000
Barabara nzuri
Call me
#0754344786
#0652472014