Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENTS ZINAUZWA KIBAMBA SHULE
===
Hapa kuna vyumba Master Bedrooms 10
Pia kuna apartment ya vyumba 2 vya kulala sebule jiko na public toilet
==
Bei MILIONI 120 #MAONGEZI_YAPO
===
Nyumba ipo katika hatua za mwisho za finishing. Maji DAWASCO YAPO tayari, wiring tayari
===
Ukubwa wa ENEO SQM 648
===
Umbali kutoka Morogoro Road ni KM 1.5 Barabara NI ya Lami ukiacha Lami unatembea Mita 150 kufika hapo
===
Documents zote zipo
===
Kupelekwa kuona nyumba za kununua ni 20,000/=
===
#0652472014
#0754344786
#namba_zote_zipo_whatsapp_ndugu_mteja