Plot for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI NA YA KISASA INAUZWA
NYUMBA IPO KIBAMBA SHULE BARABARA YA LAMI HII ILOWEKWA SASAHIVI
NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DINNING PUBLC TOILET VYUMBA VYOTE MASTER
ENEO SQM 900
BEI MIL 110
TITTLE DEED MKONONI
NDANI KUNA BANDA LA KUFUGIA KUKU
NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA ULIOTULIA ULOJENGEKA VZR
NYUMBA IPO UMBALI WA KM 2 TOKA MOROGORO ROAD
INGIA HII BARABARA YA LAMI MPYA
MAJI UMEME VIPO HAPO NDANI
KARIBU SANA MTEJA
0679447338
0753454167