Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Kigamboni kimbiji ni mradi mzuri ambao upo mita 500 hadi beach na mita 200 hadi barabarani unalipia kidogo kidogo au cash ushindwe wewe tu , kwa malipo ya installment utalipia sqm 1@30000 na malipo ya cash utalipia sqm 1@25,000 , kwa maelezo zaidi tupigie simu namba 0689184043