Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
kiwanja kipo kigamboni avic town upande wa kulia na umbali Toka barabara kubwa ni dakika 4 ukubwa wa Kiwanja Square meter 1718 hapo kwenye Raman kimeandikwa kimepimwa na kina hati bei milion 55
Kupelekwa site 30000
Call 0659244543