Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba Hii ya Ghorofa inauzwa ipo Kigamboni Geza juu meter 300 kutoka baharini .Ghorofa Lina vyumba Apartment nne vyumba kumi masta,majiko manne,seble,nne,dining nne,na servant Kota kubwa ....Eneo Lina ukubwa wa sqmeter 1500 Bei Tsh 1.2B..,...(0787-717683)