Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


📍 Kiwanja kinauzwa kigamboni kisota
📍Umbal wa kilometer 5 kutoka fer yaan kivukoni
📍Napia umbal wa kilometer 4 kutoka Daraja Ra nyelele
SIFA ZA KIWANJA
Kiwanja kinaumbali wa mita 200 kutoka men rod kubwa ya rami
Pia kiwanja kinahati ya wizara
📍Kiwanja kinaukubwa wa sqm 626
📍Majiran wako vizur
📍Huduma za kijamii zipo Kama maji, umeme na NK..
📍Bei mill 70
☎️0789020004
NB : Gharama za kupelekwa saint ni erf 20,000