Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam


NEW PROJECT 🔥🔥🔥
KIGAMBONI CHEKA PRIME PROJECT
🔑 Sifa za Mradi
Umbali wa 2.7 KM tu kutoka barabara kuu mpaka
site.
🔹Njia panda ya Chuo ndiyo kituo cha kushukia.
🔹Barabara nzuri na za kufikika kwa urahisi.
🔹Eneo lenye makazi ya watu
🔹Mji unaokua kwa kasi na kuongezeka kwa thamani ya
ardhi kila siku.
🔹Huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu:
🏫Shule
🏨Vituo vya afya
🔌Umeme
💦Maji safi
🩺 Chuo cha Afya kipo jirani na site
💰 PAYMENTS
🔹Malipo ya CASH
• Bei: 30,000/= kwa sqm
Kiwanja cha sqm 450 = 13,500,000/=
• Unaweza kulipa kwa mkupuo au kwa miezi 3:
📌 4,500,000/= kila mwezi
🔹Malipo ya INSTALLMENT
Bei: 35,000/= kwa sqm
• Kiwanja cha sqm 450 = 15,750,000/=
Unaanza na 20% ya awali (3,150,000/=)
• unalipa kwa miezi 12:
📌1,050,000/= kila mwezi
CALL: 0657618231 ☎️
#rejaainvestment #rejaarealestate #viwanjadodoma #viwanjakigamboni #viwanjagoba #viwanjatanzania #viwanjabagamoyo