Plot for sale at Kijitonyama, Dar Es Salaam
*Eneo la Ekari 1 linauzwa Kijitonyama Africa sana*
*Distance* Kutoka Shekilango road Meter 600 na Kutoka Bagamoyo road ni 1KM
-Eneo ndani lina nyumba 6 ambazo zina wapangaji.
*Eneo linafaa kwa ujenzi wa Apartment, Makazi au Hoteli n.k*
-Plot size Sqm 4,000
-Document:Title Deed
*Bei shilingi Bilioni 1 maongezi yapo*