Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam





KIWANJA KIZURI SANA KIPO SEHEMU NZURI KIPO JIRANI NA BARABARA KUU YA MOROGORO ROAD NA KINAFAA KWA UJENZI WA AINA YEYOTE
🌟 KIWANJA HIKI KINA SIFA ZIFUATAZO
#KIPO JIRANI NA BARABARA
#HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO
#DOCUMENTS SERIKALI ZA MTAA
UKUBWA WA KIWANJA NI 30 KWA 30
BEI NI MILIONI 55 MAONGEZI YAPO
💫💫 KIWANJA HIKI KIPO KIMARA KOROGWE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE KIWANJA
KUONESHWA KIWANJA HIKI GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA
O627977383