Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA KUBWA YA KIFAMILIA
INAUZWA 💥 INAUZWA
KIMARA TEMBONI
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO>>
#VYUMBA V3 VYA KULALA, KATI YA HIVYO VIWILI NI MASTER BEDROOMS.
#SEBURE KUBWA
#DINNING
#JIKO SAFI
#STORE
#PUBLIC TOILET
#NYUMBA HII IMEZUNGUSHIWA FENCE YOTE, NA UPANDE WA MBELE KUNA FREM MBILI ZA BIASHARA.
UKUBWA WA ENEO NI SQUARE METERS 400.
BEI YAKE 55,000,000/= MILIONI
BEI NI MILION 55. MAONGEZI YAPO
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA HII NI KM 3.5.
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA BARABARA INAFIKA HADI SITE
DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
NYUMBA HII KIWANJA CHAKE KIMEPIMWA BADO KUPATIWA HATI MILIKI TUU..
#0652472014
#0754344786