Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam
KIWANJA ๐ฅ KIWANJA ๐ฅ KIZURI SANA KIKUBWA
KINAUZWA KIMARA TEMBONI KIPO NDANI YA UZIO
๐ฅ KIWANJA HIKI KINASIFA ZIFUATAZO
#KIWANJA HIKI KIMEZUNGUSHIWA UKUTA CHOTE
# KIPO SEHEMU NZURI
# KINAFAA KWA MAKAZI
#KINAFAA KUJENGWA NYUMBA ZA BIASHARA
UKUBWA WA ENEO NI METERS 30 / 35
BEI 35,000,000/= MILIONI
BEI NI MILIONI 35 MAONGEZI YAPO
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA HIKI NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA BARABARA INAFIKA HADI SITE
DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
KIWANJA HIKI KIMEPIMWA BADO KUPATIWA HATI MILIKI TUU
#0652472014
#0754344786