Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa,
Kimara temboni
Upande wa kulia
Ukitokea mjini,
Karibu na kituo cha polisi.
Nyumba ina underground,
Ina vyumba vitano,
Vitatu ni master bedroom,
Sebule kubwa na dinning,
Jiko la kisasa na public toilet.
Ukubwa wa eneo ni 600SQM
Bei ni mil 320
Maongezi yapo.
Mawasiliano 👇
➡️☎️0679 077638