Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SAANA
HAKINA MLIMA WALA BONDE
KINAUZWA
KIMARA TEMBONI
💥BEI YAKE NI MILION 8.5.
MAONGEZI YAPO NDUGU MTEJA 📌
KIWANJA KINAFAA KUJENGA NYUMBA ZA BIASHARA AU NYUMBA YA KUISHI MWENYEWE.
NA KINA UKUBWA WA METER 20 X17
DOCUMENT SAFI ZA MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA..
KIWANJA HIKI KIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE KIWANJA NI KM2.5.
BARA BARA NI NZURI MPAKA SITE..NA KIWANJA KINA HUDUMA ZOTE MUHIMU ZA KIJAMII, MAJI SAFI DAWASA NA UMEME PIA..
USAFIRI UPO MWINGI SANA
BAJAJI NA PIKI PIKI.
🏘️🇹🇿 KARIBUNI SAANA
DALALI KISMATI UBUNGO ONLINE 🥲😶🙏🆓
0693850032