Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA KIMARA TEMBONI
MILIONI. 50,
__________________
KUSHOTO KAMA UNATOKEA MJINI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI
DK 10, TU KWA MGUU
≠======
SIFA ZA KIWANJA
KIWANJA KINA MSINGI
WA NYUMBA KUBWA
YA VYUMBA VINNE
KIMOJA MASTER
SEBULE DINNING
JIKO STOO NA CHOO CHA PUBLIC
=====
BARABARA NI LAMI
UKUBWA WA KIWANJA
NI SQM. 750
PAZURI SANA KIBIASHARA KAMA KUJENGA
APARTMENTS ZA KUPANGISHA
AU KUISHI MWENYEWE
=====
BEI MILIONI 50,
MAONGEZI KIDOGO YAPO
=======
KUONA KIWANJA 20,000/=
0679447338
0753454167