Plot for sale at Kimara, Dar Es Salaam
NDUGU MTEJA CHANGAMKIA FURSA HII PAGALE KUBWA LILILOJENGWA KISASA NA UIMALA MKUBWA SANA LINAUZWA NA LIPO TAMBARARE NA SEHEMU NZURI
๐ฅPAGALE HILI LINASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA NA VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#STORE
#PANAFAA KWA MAKAZI
#BADO KUEZEKWA TUU NA FINISHING NYINGINE
#UNAWEZA KULIGAWA MARA 2 AU TATU NA KUWEKA NYUMBA ZA WAPANGAJI
#LINAENEO KUBWA LA KUONGEZA NYUMBA NYINGINE NA PARKING IKAWEPO
#LIMEZUGUSHIWA FENSI YA WAYA NA KUWEKWA GETI
UKUBWA WA ENEO HILI NI METER 45 / 25 SAWA NA SQMT 1125
BEI NI MILIONI 85 #MAONGEZI_YAPO
๐น๐ฟ PAGALE HILI KUBWA LIPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU MOJA TUU HADI KWENYE NYUMBA
#0652472014
#0754344786